Ufafanuzi wa goti katika Kiswahili

goti

nominoPlural magoti

  • 1

    kiungo cha mguu kinachounganisha paja na muundi.

    ondo, futi

Matamshi

goti

/gɔti/