Ufafanuzi wa govi katika Kiswahili

govi

nominoPlural magovi

 • 1

  ngozi ambayo hufunika kichwa cha dhakari.

  ushungi

 • 2

  dhakari ambayo haijatahiriwa.

  ‘Mwenye govi’
  zunga

Matamshi

govi

/gɔvi/