Ufafanuzi msingi wa goya katika Kiswahili

: goya1goya2goya3goya4

goya1

kitenzi elekezi

 • 1

  shika kitu kwa kingoe.

  koeka

Matamshi

goya

/gɔja/

Ufafanuzi msingi wa goya katika Kiswahili

: goya1goya2goya3goya4

goya2

nomino

 • 1

  maneno au vitu vya kumfanyia mtu utani.

  mzaha

Matamshi

goya

/gɔja/

Ufafanuzi msingi wa goya katika Kiswahili

: goya1goya2goya3goya4

goya3

nomino

Matamshi

goya

/gɔja/

Ufafanuzi msingi wa goya katika Kiswahili

: goya1goya2goya3goya4

goya4

kivumishi

 • 1

  pasi na faida.

  bure

Matamshi

goya

/gɔja/