Ufafanuzi wa greda katika Kiswahili

greda

nominoPlural greda

  • 1

    trekta kubwa lenye sehemu kubwa bapa, ambayo hutumiwa kusawazishia ardhi, hasa katika ujenzi wa barabara.

Asili

Kng

Matamshi

greda

/grɛda/