Ufafanuzi wa gredi katika Kiswahili

gredi

nomino

  • 1

    kiwango au daraja ya kitu.

Asili

Kng

Matamshi

gredi

/grɛdi/