Ufafanuzi wa grisi katika Kiswahili

grisi

nominoPlural grisi

  • 1

    mafuta mazito yanayotumiwa kulainishia vitu vya chuma vinavyotembea na kusuguana ili vitembee kwa urahisi.

Asili

Kng

Matamshi

grisi

/grisi/