Ufafanuzi wa gua katika Kiswahili

gua

kitenzi elekezi

  • 1

    ondoa maganda ya kitu k.v. ndizi au chungwa.

    menya

Matamshi

gua

/guwa/