Ufafanuzi wa gubika katika Kiswahili

gubika

kitenzi elekezi

  • 1

    funika kabisa bila ya kuacha hata sehemu ndogo.

Matamshi

gubika

/gubika/