Ufafanuzi msingi wa gubiti katika Kiswahili

: gubiti1gubiti2

gubiti1

nomino

  • 1

    mguu wa kasa au kobe.

Matamshi

gubiti

/gubiti/

Ufafanuzi msingi wa gubiti katika Kiswahili

: gubiti1gubiti2

gubiti2

nomino

  • 1

    vipande virefu vya sukari ngumu ambavyo agh. watoto hufyonza kama peremende.

    karameli

Asili

Kaj

Matamshi

gubiti

/gubiti/