Ufafanuzi wa guchia katika Kiswahili

guchia

kitenzi sielekezi

  • 1

    enda kwa kuchechemea.

    dengua, pecha

Matamshi

guchia

/gutʃija/