Ufafanuzi msingi wa guda katika Kiswahili

: guda1guda2

guda1

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    lia au toa sauti kwa kitu kilichomo ndani ya kitu kingine k.v. nazi iliyokauka mpaka ikaachana na kifuu inaposukwasukwa.

Matamshi

guda

/guda/

Ufafanuzi msingi wa guda katika Kiswahili

: guda1guda2

guda2

nominoPlural maguda

Matamshi

guda

/guda/