Ufafanuzi msingi wa gude katika Kiswahili

: gude1gude2

gude1

nomino

  • 1

    ndege ambaye hajengi kiota.

    shundi, dudumizi, tipitipi

Matamshi

gude

/gudÉ›/

Ufafanuzi msingi wa gude katika Kiswahili

: gude1gude2

gude2

nomino

  • 1

    chombo kinachotumiwa na seremala kutobolea mbao.

    msharasi

Matamshi

gude

/gudÉ›/