Ufafanuzi msingi wa gugu katika Kiswahili

: gugu1gugu2

gugu1

nominoPlural magugu

  • 1

    mmea wa mwituni mfano wa matete, nyasi, n.k..

  • 2

    kwekwe

Matamshi

gugu

/gugu/

Ufafanuzi msingi wa gugu katika Kiswahili

: gugu1gugu2

gugu2

nominoPlural magugu

Matamshi

gugu

/gugu/