Ufafanuzi wa gugumua katika Kiswahili

gugumua

nominoPlural gugumua

  • 1

    majani yanayoota kandokando ya mito, maziwa na mabwawa na ambayo hutumika kwa k.v. kujengea, kusukia mikeka au kutengenezea mishale.

    masinde

Matamshi

gugumua

/gugumuwa/