Ufafanuzi msingi wa gumba katika Kiswahili

: gumba1gumba2gumba3

gumba1

nominoPlural gumba

 • 1

  kidole cha mkono au mguu kilicho kinene na kifupi kuliko vingine.

  ‘Kidole cha gumba’

Matamshi

gumba

/gumba/

Ufafanuzi msingi wa gumba katika Kiswahili

: gumba1gumba2gumba3

gumba2

nominoPlural gumba

 • 1

  hali ya kukosekana mazao ya vyakula mpaka ikaleta shida ya watu kufa njaa; shida ya njaa iletwayo na ukame wa nchi.

Matamshi

gumba

/gumba/

Ufafanuzi msingi wa gumba katika Kiswahili

: gumba1gumba2gumba3

gumba3 , gumbagumba

kivumishi

 • 1

  -sioweza kuzaa.

Matamshi

gumba

/gumba/