Ufafanuzi wa gumzo katika Kiswahili

gumzo

nomino

  • 1

    mazungumzo mengi yasiyo na kitu maalumu cha kuongelea.

    soga, porojo, maongezi

Matamshi

gumzo

/gumzÉ”/