Ufafanuzi wa gundi katika Kiswahili

gundi

nominoPlural gundi

  • 1

    majimaji yanayonata ambayo hutumiwa kushikamanisha vitu k.v. karatasi au mbao.

    gamu, gluu, sherisi

Asili

Khi

Matamshi

gundi

/gundi/