Ufafanuzi wa gundisha katika Kiswahili

gundisha

kitenzi elekezi

  • 1

    gandisha kitu kwa gundi.

Asili

Khi

Matamshi

gundisha

/gundiāˆ«a/