Ufafanuzi msingi wa guni katika Kiswahili

: guni1guni2guni3

guni1

nominoPlural maguni

  • 1

    chombo cha seremala cha kukwangulia ubao au cha kupimia pembe za mraba zilizo sawa.

Matamshi

guni

/guni/

Ufafanuzi msingi wa guni katika Kiswahili

: guni1guni2guni3

guni2

kivumishi

Asili

Kar

Matamshi

guni

/guni/

Ufafanuzi msingi wa guni katika Kiswahili

: guni1guni2guni3

guni3

nominoPlural maguni

Fasihi
  • 1

    Fasihi
    shairi la Kiswahili lisilotosheleza arudhi au kanuni moja au zaidi ya ushairi wa Kiswahili.

    pingiti, masivina

Asili

Kar

Matamshi

guni

/guni/