Ufafanuzi wa gunia katika Kiswahili

gunia

nominoPlural magunia

  • 1

    mfuko wa kitani au katani, unaotumiwa kutilia vitu k.v. mahindi, mchele, sukari na vitunguu.

Asili

Khi

Matamshi

gunia

/gunija/