Ufafanuzi wa gura katika Kiswahili

gura

kitenzi sielekezi

  • 1

    ondoka mahali unapoishi kwenda kwingine.

    hama, hajiri

Matamshi

gura

/gura/