Ufafanuzi wa guru katika Kiswahili

guru, sukariguru

nominoPlural guru

  • 1

    sukari ambayo haikusafishwa, inayotengenezwa kwa miwa, huwa yenye rangi ya kahawia na katika hali ya vibonge.

Asili

Khi

Matamshi

guru

/guru/