Ufafanuzi msingi wa guruguru katika Kiswahili

: guruguru1guruguru2guruguru3

guruguru1

nominoPlural maguruguru

 • 1

  mjusi mkubwa anayekaa chini ya ardhi.

  gonda

Matamshi

guruguru

/guruguru/

Ufafanuzi msingi wa guruguru katika Kiswahili

: guruguru1guruguru2guruguru3

guruguru2

nominoPlural maguruguru

 • 1

  namna ya samaki anayesifika kwa utamu.

Matamshi

guruguru

/guruguru/

Ufafanuzi msingi wa guruguru katika Kiswahili

: guruguru1guruguru2guruguru3

guruguru3

nominoPlural maguruguru

 • 1

  mngurumo wakati wa mvua za radi.

Matamshi

guruguru

/guruguru/