Ufafanuzi wa gusia katika Kiswahili

gusia

kitenzi elekezi

  • 1

    eleza jambo kijuujuu na kwa ufupi.

    ‘Mgombea aligusia mikakati ya kuinua uchumi’
    angazia, shughulikia

Matamshi

gusia

/gusija/