Ufafanuzi wa gusu katika Kiswahili

gusu

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    kataa kutenda jambo ambalo kwanza ulikubali kutenda.

    goma, susa, gahamu

Matamshi

gusu

/gusu/