Ufafanuzi msingi wa gutu katika Kiswahili

: gutu1gutu2

gutu1

nominoPlural gutu

 • 1

  kipande kifupi cha kitu kizima kilichokatika.

  ‘Gutu la mnazi’
  kibubutu

Matamshi

gutu

/gutu/

Ufafanuzi msingi wa gutu katika Kiswahili

: gutu1gutu2

gutu2

kivumishi

 • 1

  -enye kukatwa.

  ‘Mkono gutu’

 • 2

  butu

Matamshi

gutu

/gutu/