Ufafanuzi msingi wa guu katika Kiswahili

: guu1guu2

guu1

nominoPlural maguu

  • 1

    methali ‘Asiyesikia la mkuu huvunjika guu’

Ufafanuzi msingi wa guu katika Kiswahili

: guu1guu2

guu2

nominoPlural maguu

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    vipande vinavyounganisha mirengu na tumbo la ngalawa.

Matamshi

guu

/gu:/