Ufafanuzi wa gwaduka katika Kiswahili

gwaduka

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    chachamua mate kinywani kwa kula kitu chenye uchachu au ugwadu k.v. ukwaju au embe bichi.

Matamshi

gwaduka

/gwaduka/