Ufafanuzi wa gwaride katika Kiswahili

gwaride

nominoPlural magwaride

  • 1

    mkusanyiko wa askari waliovalia sare na kujipanga katika mistari kwa ajili ya kukaguliwa na mkubwa wao.

    paredi

Matamshi

gwaride

/gwaridɛ/