Ufafanuzi wa gwatemala katika Kiswahili

gwatemala, guatemala

nominoPlural gwatemala

  • 1

    nyasi zenye majani mapana na marefu, shina lake liwapo changa ni laini na hutumiwa kama malisho ya mifugo.

  • 2

    majani ya kulishia wanyama.

Matamshi

gwatemala

/gwatɛmala/