Ufafanuzi msingi wa gwato katika Kiswahili

: gwato1gwato2

gwato1

nominoPlural magwato

 • 1

  gongo linalomsaidia mtu mwenye mguu mmoja au athari ya miguu kuendea.

 • 2

  mti unaotumiwa na wacheza ngoma kwa kuendea na kuonekana warefu kupita watu wote.

Matamshi

gwato

/gwatɔ/

Ufafanuzi msingi wa gwato katika Kiswahili

: gwato1gwato2

gwato2

nominoPlural magwato

 • 1

  msongo wa mguu wa mpinzani wako wakati wa kushikana miereka.

  munda

Matamshi

gwato

/gwatɔ/