Ufafanuzi wa gwaya katika Kiswahili

gwaya

kitenzi sielekezi

  • 1

    tetemeka kwa hofu au baridi.

    ogopa

Matamshi

gwaya

/gwaja/