Ufafanuzi wa gwia katika Kiswahili

gwia

kitenzi elekezi

 • 1

  ‘Gwia mnyama’
  kamata
  , → bwia
  , → shika
  , and → nasa

 • 2

  angukia.

  ‘Nazi ilimgwia mtoto’

Matamshi

gwia

/gwija/