Ufafanuzi msingi wa gwiji katika Kiswahili

: gwiji1gwiji2

gwiji1

nominoPlural miji

  • 1

    mtu hodari au stadi wa fani au utaalamu fulani k.v. uganga au muziki.

Matamshi

gwiji

/gwiʄi/

Ufafanuzi msingi wa gwiji katika Kiswahili

: gwiji1gwiji2

gwiji2

kivumishi

  • 1

    hodari katika fani fulani.

Matamshi

gwiji

/gwiʄi/