Ufafanuzi wa habi! katika Kiswahili

habi!

kiingizi

  • 1

    neno aambiwalo mtu aliyepandwa na shetani na akawa mkali sana na kujipigapiga huko na huko; punguza hasira.

    ‘Habi Acha hasira’
    tulia!

Matamshi

habi!

/habi/