Ufafanuzi msingi wa hadaa katika Kiswahili

: hadaa1hadaa2hadaa3

hadaa1

kitenzi elekezi~ana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~lia, ~liana

  • 1

    fanyia hila; zungusha akili.

    danganya, rubuni, ghuri, lemba, punja

Asili

Kar

Matamshi

hadaa

/hada:/

Ufafanuzi msingi wa hadaa katika Kiswahili

: hadaa1hadaa2hadaa3

hadaa2

nominoPlural hadaa

Matamshi

hadaa

/hada:/

Ufafanuzi msingi wa hadaa katika Kiswahili

: hadaa1hadaa2hadaa3

hadaa3

kivumishi

  • 1

    -enye kudanganya; -enye ujanja.

    ‘Dunia hadaa’

Asili

Kar

Matamshi

hadaa

/hada:/