Ufafanuzi wa hadia katika Kiswahili

hadia, adia

nomino

  • 1

    kitu kinachotolewa bure bila ya malipo.

    azizi, tumu, zawadi, tunzo, hidaya

Asili

Kar