Ufafanuzi wa hadibodi katika Kiswahili

hadibodi

nomino

  • 1

    kifaa cha kujengea kilichotengenezwa kwa vipande vyembamba vya mbao vilivyogandishwa pamoja.

Asili

Kng

Matamshi

hadibodi

/hadibɔdi/