Ufafanuzi msingi wa hadidi katika Kiswahili

: hadidi1hadidi2

hadidi1

nominoPlural hadidi

kishairi
  • 1

    kishairi chuma.

Asili

Kar

Matamshi

hadidi

/hadidi/

Ufafanuzi msingi wa hadidi katika Kiswahili

: hadidi1hadidi2

hadidi2

kivumishi

  • 1

    kishairi -enye nguvu.

  • 2

    madhubuti kama chuma.

Asili

Kar

Matamshi

hadidi

/hadidi/