Ufafanuzi wa hadidu katika Kiswahili

hadidu, hududi

nomino

  • 1

    sharti, mpaka, kanuni au kikwazo cha kufanya kazi fulani.

Asili

Kar

Matamshi

hadidu

/hadidu/