Ufafanuzi msingi wa hadithi katika Kiswahili

: hadithi1Hadithi2

hadithi1

nominoPlural hadithi

 • 1

  habari za mambo yaliyotukia; mtungo wa habari.

  kisa, ngano, masimulizi, hekaya

 • 2

  habari za kubuni.

  riwaya

Asili

Kar

Matamshi

hadithi

/hadiθi/

Ufafanuzi msingi wa hadithi katika Kiswahili

: hadithi1Hadithi2

Hadithi2

nominoPlural Hadithi

Kidini
 • 1

  Kidini
  nasaha ya Mtume Muhammad (s.a.w.) kuhusu mambo ya maisha ya mwanadamu.

Asili

Kar

Matamshi

Hadithi

/hadiθi/