Ufafanuzi wa hadubini katika Kiswahili

hadubini

nominoPlural hadubini

  • 1

    chombo cha kukuza vitu vidogo visivyoonekana kwa macho viwe vikubwa na kuweza kutambuliwa umbo na idadi yake.

    maikroskopu

Matamshi

hadubini

/hadubini/