Ufafanuzi wa hae! katika Kiswahili

hae!

kiingizi

  • 1

    tamko linalotumiwa katika kuonyesha huzuni na kulia au kusikitika.

    ‘Hae, Mungu wangu!’

  • 2

    tamko linalotumiwa katika kuitikia nyimbo au ngano.

Matamshi

hae!

/hajɛ/