Ufafanuzi wa hafifisha katika Kiswahili

hafifisha

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya nyonge; punguza thamani.

    dunisha

Asili

Kar

Matamshi

hafifisha

/hafifiāˆ«a/