Ufafanuzi wa hafifu katika Kiswahili

hafifu

kivumishi

  • 1

    -enye thamani ndogo; -siofaa.

    nyonge, dufu, dhaifu, duni, fifi, ghafi

  • 2

    -enye uzani mdogo; -enye uzito mdogo.

Asili

Kar

Matamshi

hafifu

/hafifu/