Ufafanuzi wa hafla katika Kiswahili

hafla

nominoPlural hafla

  • 1

    mkusanyiko wa watu walioalikwa kwa ajili ya shughuli fulani k.v. sherehe au karamu.

    ‘Hafla ya harusi’
    ‘Hafla ya Maulidi’
    tafrija

Asili

Kar

Matamshi

hafla

/hafla/