Ufafanuzi wa hafubeki katika Kiswahili

hafubeki

nominoPlural mahafubeki

  • 1

    mchezaji kandanda ambaye husaidiana na mabeki wenziwe kulinda mlango wa goli.

    ‘Hafubeki wa kulia’
    ‘Hafubeki wa kushoto’

Asili

Kng

Matamshi

hafubeki

/hafubɛki/