Ufafanuzi wa hafutaimu katika Kiswahili

hafutaimu

nominoPlural hafutaimu

  • 1

    wakati wa kupumzika katika michezo baada ya kucheza nusu ya muda wa mchezo k.v. dakika 45 kwa mchezo wa dakika 90 mathalani mchezo wa kandanda.

  • 2

    mapumziko ya wanafunzi wa shule baada ya vipindi vya asubuhi.

    breki

Asili

Kng

Matamshi

hafutaimu

/hafutajimu/