Ufafanuzi wa hai! katika Kiswahili

hai!

kiingizi

  • 1

    neno linaloonyesha nia ya kutaka kupoza jambo lisiendelee.

    ‘Hai mwanangu!’

Matamshi

hai!

/haji/