Ufafanuzi wa haibridi katika Kiswahili

haibridi

nominoPlural haibridi

  • 1

    mmea au mnyama anayetokana na mchanganyiko wa mimea au wanyama tofauti wa aina moja k.v. haibridi ya mahindi ambayo huzalishwa ili kupata mmea bora zaidi au haibridi ya ng’ombe ambao huzalishwa ili kupata mnyama bora zaidi.

Asili

Kng

Matamshi

haibridi

/haIbridi/